Huyu Hapa Mwanamke Aliyeamua Kujioa Mwenyewe

Mwanamke mmoja Italia, aitwaye Luara Mesi mwenye miaka 40 ameshangaza wengi baada ya kufanya maamuzi ya kufanya sherehe ya harusi kisha kutangaza kujioa mwenyewe tofauti na utaratibu wa ndoa za kawaida ulivyo.

Ameeleza kuwa amefanya hivyo baada ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa miaka 12 bila mafanikio na amegundua kuwa furaha yake haihitaji uwepo wa mwanaume kwenye maisha yake ili ikamilike na hivyo akaamua kufanya hivyo kwani mtu anahitaji kujipenda mwenyewe.

“Niliiambia familia yangu na marafiki kuwa nikifikisha miaka 40 na sijapata mpenzi wa kunioa nitajioa mwenyewe na nimetimiza hilo na kama siku za usoni pia atatokea mwanaume wa kutanga kutengeneza maisha na mimi nitakua tayari pia.” – Luara Mesi 

Comments

Popular posts from this blog

HIZI NDIO SABABU ZINAZOWAFANYA WANAWAKE WENGI WATAMANI KUOLEWA NA MWANAUME MPOLE

Jinsi ya kunyonya Kyuma

Jinsi Ya kunyonya Kyuma Mpaka mwanamke apagawe!