HII NDIO LIST YA VITU APENDAVYO MWANAMKE TOKA KWA MWANAUME....WAKUBWA TU PLZ



Wanaume yatupasa tujue kwamba hatupo peke yetu kitandani (I mean unapofanya mapenzi unakua na mwanamke wako) na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi ili wote muweze kufurahia jambohilo na mapenzi hayo! Kuna baadhi ya mambo kama haya mambo matano yakitekelezwa kwa ufasaha basi nahisi yatafanya mwanamke wako achanganyikiwe zaidi kila saa na ajisikie furaha pindi umwambiapo suala la kwenda kitandani.....!

1: UWE WA MWISHO KUMALIZA...
Kawaida wanawake huchelewa sana kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, ni wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8 hazijafika!yaani kuna wale wenzangu na mimi waliokua adicted ma punyeto basi hata dk 3 anaweza asimalize akawa tayari amesha pees...

2: MAANDALIZI.....
Mapenzi yanahitaji maandalizi kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na kulainisha sehemu zake vizuri tayari kwa kuburudika! Endapo hautoweza kumuandaa vizuri mwanamke wako basi tendo zima hugeuka kuwa la maumivu, kutakuwa hakuna burudani yoyote pale zaidi ya misuguano ambayo itawaletea maumivu. Maandalizi mazuri pia ni njia nzuri ya kumsogeza mwanamke karibu na kilele.

3:CLITORIS (Kisimi)

ni sehemu kubwa sana ambayo misisimko huanzia.kama Ukidharau hicho kidude basi kwa hakika inatosha kabisa kumfanya mwanamke asiridhike!, pia kama unamuamini vizuri mpenzi wako basi tumia hata ulimi kuchezea hiyo sehemu, ila kama hamuaminiani basi kidole tu kinatosha kumfanya awe tayari kukaribia kilele, na kuna wengine ukiwanyonya vizuri hiyo shemu basi safari yao humalizia hapo hapo anakua amepees....

4:MAONGEZI YA MAHABA....
mwanamke anapenda sana haya maongezi!
Anapatwa na hamu sana anaposkia kuwa unatamani sana kumridhisha! Mwambie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba lengo lako ni kumpa utamu usio elezeka...

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kunyonya Kyuma

HIZI NDIO SABABU ZINAZOWAFANYA WANAWAKE WENGI WATAMANI KUOLEWA NA MWANAUME MPOLE

Jinsi Ya kunyonya Kyuma Mpaka mwanamke apagawe!