DALILI ZA KWAMBA HUYU KAUMBWA KWA AJILI YAKO

Wasomaji wa blog hii, leo nimeona niwaeleze kuwa yawezekana wengi wenu mlikuwa hamjui kama wapenzi wenu wameumbwa kwa ajili yenu au la.

Kama unaamini kuwa huyo uliyenaye ni wa kufa na kuzikana, bas tazama baadhi ya dalili hizi;

1.Unamwamini.

2. Unamhurumia.

3. Unakasirika anaposengenywa.

4. Anaelewana na rafiki zako.

5. Unawasahau rafiki zako.

6. Unamsahau mpenzi wako wa zamani.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI NDIO SABABU ZINAZOWAFANYA WANAWAKE WENGI WATAMANI KUOLEWA NA MWANAUME MPOLE

Jinsi ya kunyonya Kyuma

Jinsi Ya kunyonya Kyuma Mpaka mwanamke apagawe!