Posts

Showing posts from September, 2017

HIZI NDIZO SABABU KUU KUMI ZA UGUMBA KWA WANAWAKE.

Image
ugumba ni nini?  hii ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata ujauzito baada ya kushiriki ngono mbili kinga kwa muda wa mwaka mmoja mfululizo. ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisa   tangu azaliwe au secondary infertility yaani mtu ambaye amewahi kuzaa lakini kwa sasa ameshindwa kubeba ujauzito. utafiti uanonyesha katika kila ndoa tano au mahusiano matano ya kimapenzi basi uhusiano mmoja una matatizo ya uzazi ya kushindwa kuzaa. hali hii imekua ikiongezeka kadri miaka inavyosonga mbele kwa sababu mbalimbali kama mionzi ya mawasiliano yaani wi-fi , magonjwa mapya ya binadamu na kadhalika. kwa wanawake utafiti mpya unasema uwezo wao wa kubeba mimba unaanza kupungua baada ya miaka 30 ya umri kutokana na kuanza kuishiwa nguvu kwa viungo vya uzazi. ugumba una vyanzo vingi sana ambavyo vingine havifahamiki mpaka leo  lakini hebu tuone vyanzo muhimu vya ugumba. utoaji wa mimba;Huenda hichi ndio kitakua chanzo kikuu cha ugumb...

HIVI NDIVYO MWANAMKE ANAVYOWEZA KUBEBA MIMBA SIKU YA HEDHI.

Image
Wengi najua mmeshangaa sana kuona hii post lakini huo ni ukweli mchungu unaofanya watu wanakana watoto na kuacha ndoa zao kwa kudhani wamesalitiwa wakati mimba ni zao na watoto ni wa kwao wenyewe. Kwenye blog hii nimeshaongelea zaidi ya mara mbili mambo haya ya kuhesabu siku zako za hatari lakini hili sikulizungumzia, basi hebu twende sawa upate kunielewa vizuri na kama hukusoma hizo za nyuma na hujui kuhesabu siku zako za hatari soma hapa Nilisema kwamba wanawake wote, siku yao ya hatari ya kubeba mimba ni siku ya 14 kabla ya kuona mzunguko unaofuata na sio siku ya 14 baada ya kuona hedhi iliyopita kama mnavyodanganyana mtaani. Mfano kama mzunguko wako ni siku wa kawaida siku  28, chukua 28 toa 14 utapata 14. Hivyo siku yako ya hatari ni siku ya 14, lakini kwa kua mbegu ya kiume inaweza kuishi mpaka siku tano na yai la kike linaweza kuishi mpaka masaa 24 ndani ya mfuko wa uzazi basi siku nne kabla ya siku  ya kumi na nne na siku moja baada ya siku ya 14 ni hatari, hiv...

MBINU STAHIKI YA KUMFIKISHA MWANAMKE MLIMA KILIMANJARO KWA MUDA MFUPI NDIYO HII.

Image
 Picture,  love, man, woman KARIBUNI katika somo jingine ndugu wapenzi wa blog hii kumekuwa na maombi kama huwezi kumfik isha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo !. Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia katika kumridhisha. Wanaume wengi huwa hawana maandalizi mazuri kwa wanawake wao kabla ya tendo la ndoa yanayoweza kuwasaidia kama kichochezi cha kuwafikisha kileleni mapema. Basi njia hizi zinaweza kuwa msaada mkubwa endapo zitatumika ipasavyo na hata yule ambaye ulikuwa umridhishi baada ya somo hili utaweza kumlidhisha ipasavyo kwa kumfanyia yafuatayo. Picture,  man, woman, love 1.mpe maneno matamu okimtomasa kwa ulimi sikio lake kimahaba zaidi 2. pitisha ulimi wako shingoni kifuani, tumboni, mapajani ni ikibidi zama chumvini walau kwa dakika kumi hivi 3. tumia ulim wako ipasav...

Siri Ya Papai Katika Urembo Wako

Image
TUNDA la papai lina vitamini C na E,  lina siri kubwa ya urembo na hutumika kutengeneza facial za aina mbalimbali. Papai limekuwa likitumiwa kama tunda kwa kula lakini pia kwa kupaka na humfanya mtu awe na ngozi ya asili. Bidhaa ambazo zimekuwa zikitengenezwa kwa kutumia tunda la papai ni pamoja na sabuni, losheni, tona, moisturiza, ‘facial peels’ na nyingine nyingi. Ukitumia facial mask ya papai utakuwa na sura nzuri ya asili na kukupa muonekano mzuri wa uso wako. Facial mask hii huweza hutumika kwa watu wa umri na aina yoyote ya ngozi. Facial mask ya papai ina nguvu ya kung’arisha uso wako. Mask ya mchanganyiko wa papai na yai ni nzuri katika kuhakikisha kuwa unakuwa na ngozi nzuri na nyororo. Njia hii pia husaidia hata wale wenye nyuso za mafuta ambao wamekuwa wakisumbuliwa na chunusi mara kwa mara kwa kufanya ngozi kuwa kavu. Utengenezaji: Chukua papai, likate kisha toa mbegu na ulisage kwa kutumia blenda au pondaponda kwa kinu kisha weka mchanganyiko huo kwenye ...

JIFUNZE JINSI YA KUSUGUA G-SPOT YA MWANAMKE, YAANI HADI ALIE KAMA MTOTO MDOGO

Image
Grafenberg Spot a.k.a G-Spot ni kidude laini kama sponge chenye umbile la haragwe ambacho kipo ndani ya Uke,kwenye upande wa juu inch 2 mpaka 3 kutoka nje kuelekea ndani. Wakati mwanamke anapozidi kupata hamu ya kupata raha na utamu,kuna tissue ambayo ipo karibu naimezunguka urethra,inakuwa engorged with blood,na kusababisha Skenes glands zitengeneze Prostatic Fluid na kufanya hicho kiharagwe kidinde/kisimame na process yake haina tofauti na process ya kusimama kwa mashine ya mwanaume,lazima uelewe kuwa kama hujazipandisha hamu zake vya kutosha,basi itakuwa kazi sana kukipata kidude hiki. JINSI YA KUFANYA. * Hakikisha umeshamfanyia maandalizi zaidi ya dakika 10,inatakiwa awe tayari Uke wake upo wet kabla hujaanza kusisimua G-spot yake,kuna njia mbili za kusisimua G-SPOT 1:KWA KUTUMIA KIDOLE/VIDOLE. * Hakikisha kucha zako fupi na mikono yako misafi. *Hakikisha Uke wake umeloa vya kutosha. *Akiwa amelala kitandani,Ingiza kidole kimoja ( kama uke wake uko tight ) au zaidi ya kimo...

HII NDIO LIST YA VITU APENDAVYO MWANAMKE TOKA KWA MWANAUME....WAKUBWA TU PLZ

Image
Wanaume yatupasa tujue kwamba hatupo peke yetu kitandani (I mean unapofanya mapenzi unakua na mwanamke wako) na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa ki mapenzi ili wote muweze kufurahia  jambo hilo na mapenzi hayo! Kuna baadhi ya mambo kama haya mambo matano yakitekelezwa kwa ufasaha basi nahisi yatafanya mwanamke wako achanganyikiwe zaidi kila saa na ajisikie furaha pindi umwambiapo suala la kwenda kitandani.....! 1: UWE WA MWISHO KUMALIZA... Kawaida wanawake huchelewa sana kutosheka kimapenzi zaidi  ya  wanaume, ni wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8 hazijafika!yaani kuna wale wenzangu na mimi waliokua adicted ma punyeto basi hata dk 3 anaweza asimalize akawa tayari amesha pees... 2: MAANDALIZI..... Mapenzi yanahitaji maandalizi kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na kulainisha sehemu zake vizuri tayari kwa kuburudika! Endapo hautoweza kumuandaa vizuri mwanamke wako basi tendo zi...

Mwanamke Kukauka Maji Sehemu za Siri Wakati wa Majambozi..Please Help

Image
Husika na Kichwa cha habari hapo juu Mimi ni Msichana wa umri wa Miaka 21 , Nimeanza mapenzi muda kidogo , Boyfriend wangu wa kwanza nilikuwa na Miaka 18 nilikaa nae miezi sita tu tukaachana sababu anasema mimi sio mtamu na alikuwa haenjoy tukifanya tendo kwa vile muda wote mimi ni mkavu huku chini hata akiniandaa vipi  tukishaanza tu nakauka, Wa pili nae akawa analalamika hivyo alijitahidi lakini ikafika wakati akawa hadi anachubuka sehemu zake Akaniacha, Kwa sasa ninae mwingine mpya sijawahi fanya nae kitu chochote kila siku nampiga tarehe kwa kuogopa nae atanikimbia ..Naombeni ushauri Nifanye nini ama nitumie dawa gani .

Mbinu Tata Za Kumfanya Mwanamke Akufukuzie

Image
Awali tuliandika kuhusu mbinu za kumfanya mwanamke akufukuzie. Well, leo tumeamua kuja na mbinu tata ya kumfanya mwanamke akufukuzie. Baada ya kufanya majadiliano na paneli yetu ya Nesi Mapenzi, editor wetu mkuu aliidhinisha tuiweke wazi mbinu hii tata hata angalau kwa uchache ili iweze kutumika na readers wetu. Awali tulishaandika chapisho la kumkontrol mwanamke kama rimoti, kutumia mbinu ya I.O.U kulala na mwanamke pamoja na mbinu nyingi zaidi ambazo tumeziorodhesha kama Sanaa Ya Kutongoza. Hii mbinu tata ya kumfanya mwanamke kando na kuwa wanawake wengi wanaikashifu, pia huwa inafanya kazi. Kama umekua ukifuatilia machapisho yetu unakumbuka kuwa tushaeleza na kufafanua kuwa katika ubongo wa mwanamke kuna chembechembe za DNA ambazo zimeandikwa mahususi kumtumikia mwanaume. Hii ndio maana utamkuta mwanamke nyakati zote za maisha yake huwa anajiweka chini ya mwanamke. Udhaifu huu ndio wanaume ‘wachache’ huwa wanatumia kumlainisha mwanamke kila wakati. Ok, kupunguza maelezo ya...

Jinsi Ya Kusexchat Na Mwanamke

Image
Kama mwanaume hajui kuanza kumsexchat mwanamke, kwa kawaida kuna mambo mawili ambayo huweza kutokea. Aidha hatowahi kujaribu, hivyo kukosa hatua muhimu ipasayo kutumika katika mchakato wa kutongoza mwanamke, ama atakuwa na wakati mgumu kujenga uhusiano kati yake na mwanamke wa maisha yake. Kama unataka kujua jinsi ya kujifunza kuanza kusexchat mwanamke kwa njia ambayo itamfanya avutiwe na afurahishwe, hii hapa ndio njia ya kufuata. Jinsi ya kusexchat na mwanamke #1 Jenga mpangilio wa toni.  Kuanza kuonyesha hisia zako za sexting bila mpangilio wowote ni hatua mbaya ya kutumia sababu utamshika mwanamke kwenye mataa. Balada yake, wakati unapoanza kutaka kusexchat lazima uje na hatua ya upole bila pupa. Weka toni ambayo itafanya chat yako ionekane imetoka naturally bila kuonekana kama imelazimishwa. Njia nzuri ya kuanzisha mazungumzo ya jumbe ambazo zinalenga kusexchat bila kuzua mukshili ni kwa kutafsiri majibu yake kwa njia ambayo itadokeza kuwa anajaribu kukutongoza. Wewe unapas...

Vitu gani humpagawisha mwanaume/ mwanamke!!!!!

Image
habar za wkend wadau!leo katika pitapita kwenye mablog nikaona maneno matamu matamu yakanivutia kuyaweka hapa JF!Samahanin kama yalishakwishwa wekwa hapa JF!bas tujimvuzishe. Kila mwanaume anapaswa kujua nini kinachomfanya mwanamke/msichana apagawe kunako sita kwa sita, hali kadhalika mwanamke anapaswa kufahamu mambo kadha wa kadhaa ambayo akimfanyia mwenza wake atamfanya avishinde vishawishi vya kumsaliti. Hii inamaanisha nini? Inamaanisha kuwa, kila mwanaume na mwanamke anapaswa kufahamu jinsi gani wanaume walivyo tofauti na wanawake. Mwanamke anapaswa kufahamu kwamba wanaume huamsha hisia za mapenzi kutokana na kile wanachokiona. Hivyo pindi anapoona msichana mwenye shepu akiwa amevaa nguo inayoiweka shepu yake bayana, ghafla hisia kali za mapenzi humjia, hata kama anajua baadhi ya utu ama tabia zake mbaya. Kuona tu jinsi binti alivyoumbika, hiyo ni tosha kwake kumfanya ahitaji kuwa naye faragha na hapo ndipo atakapoanza kupigana na mhemuko wa mwili wake kujizuia kuingia k...

Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito

Image
Bila shaka kila aliyeko kwenye mapenzi ana kiu yakufahamu staili mbalimbali atakazotumia katika uwanja wa huba kumpagawisha mwenza wake, kimsingi kuna staili nyingi sana ijapokuwa nyingi huhitaji wapendanao wawe wanasarakasiyaani wawe wepesi wa viungo. Leo nitazungumzia staili ambazo mwanamke mjamzito anaweza kutumia na mwenza wake wakiwa katika huba na kumfanya afurahie tendo la ndoa na panapomajariwa nitazungumzia staili nyingine ambazo kila mmoja wetuanaweza kutumia katika majambozi kumpagawisha mwenza wake. Kuinama: Hapa mwanamke anapaswa kuinama na kushikilia ama kiti, kitanda au kitu chochote kitakachomfanya asichoke miguu yake wakati mwanaume atakapokuwa akimwingilia kimwili. Hii ni staili nzuri kwa mwanamke mjamzito kwani mwanaume hataweza kulisukumatumbo lake. Hata hivyo, staili hii ina tatizo moja, uume wa mwanaume hauwezi kukisugua kinena na ikumbukwe kuwa mwanamke ili aweze kufika kileleni lazima mwanaume asiwe mvivu kukishughulisha kinena cha mwanamke kwani ni moja k...

JINSI YA KUNG'ARISHA MENO YAKO YAWE MEUPE ZAIDI UKIWA NYUMBANI TU.

Image
meno ni afya, mtu ambaye ana meno mabavu kikawaida hua hana afya nzuri na huteseka sana hasa wakati anapopata maumivu makali ya meno. lakini pia meno ni moja ya sehemu za mwili za urembo kwani mtu mwenye meno meupe sana hupendeza akitabasamu kuliko mwenye meno yenye unjano kwa mbali. kila mtu anatamani kua na meno meupe sana lakini kuna sababu mbalimbali zinazuia watu kufikia malengo hayo. leo tutaona jinsi ya kufanya meno yawe meupe sana, lakini siongelei meno ya watu wa arusha, moshi na manyara mabayo yameunguzwa na madini fulani hapana yale hayatibiwi kwa njia hii na hata ukisema uyatibu kwa njia yake yanapungua upana wake na kua rahisi kuvunjika muda wowote. naongelea meno ya watu wa kawaida ambao utotoni kama kawaida ya watu wote yalikua meupe lakini kwa sasa yamebadilika rangi. vitu vinavyohitajika, hydrogen peroxide mouth wash[inapatikana kwenye maduka ya madawa] maji masafi.[nunua ya dukani] mswaki dawa ya meno nzuri. jinsi ya kufanya. nunua chupa ya hydrogen pero...

Mbinu za kumfikisha mwanamke mwenye makalio makubwa kileleni kwa haraka

Image
Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue hata utamu huo ukoj...

KUMBE WANAWAKE NDIYOO????? ISIKUPITE SOMA HII UJIFUNZE

Image
Inaweza ikawa ni mada ngumu kuikubali kutokana na sababu kadha wa kadha, lakini ukweli unabaki kuwa wanawake wamebainika kuwa na uwezo wa kuishi miaka mingi zaidi ya wanaume, hii ni kwa mujibu wa tafiti nyingi zilizofanywa hivi karibuni ulimwengu, ukiwemo ule ulioendeshwa na wanasayansi wa Chuo cha Liverpool John Moores (LJMU) nchini Uingereza. Profesa David Goldspink wa LJMU anayejihusisha zaidi na seli za binadamu alieleza matokeo ya utafiti wa jopo lake kuwa “tumebaini kwamba nguvu za moyo wa mwanaume hupungua kwa asilimia 20 – 25 kutoka miaka 18 hadi 70, lakini nguvu ya mioyo ya wanawake wenye umri wa miaka 70 haitofautiani na ya vijana wenye umri wa miaka 20.” Kwa maana hiyo mwanaume kadili anavyozidi kupata umri mkubwa, nguvu za moyo wake hushuka na hivyo kupunguza kiwango cha msukumo wa damu mwilini na kusababisha madhara ya kiafya na hatimaye kifo. Lakini kwa mujibu wa utafiti huo huo ambao ulihusisha zaidi ya wanawake na wanaume wenye afya 250, ulibaini kuwa mioyo ya ...

Jinsi Ya Kuingia Katika Akili Ya Mwanamke

Image
Je uko tayari kufahamu jinsi ya kuingia katika akili ya mwanamke na kufanya mapinduzi ya njia ya kawaida unayotumia kuapproach mwanamke? Kama jawabu lako ni ndio, basi zama nami kusoma hizi mbinu ambazo zimethibitishwa kufanya kazi. 1. Anza approach ya mbali Kabla ya kumuapproach mwanamke, hakikisha ya kuwa unamsoma kwa umbali mambo anayofanya kwanza. Halafu ukiona kama umepata kile unachoweza kutumia kutoka kwake unaweza kumuaproach. Ukiwa unaongea nayeye mwambie kuwa una uwezo wa kusoma nyota yake. Wanawake wengi watakubaliana na hili ili kuona ucheshi wako. Halafu ukirudilia na vitu ambavyo ulimsoma awali, utakuwa umemfunga. Mwanzo kama umejaribu kumtabiria vitu ambavyo viko sawa kwake ama vinahusiana na yeye, una nafasi kuu ya kumfanya kukutaka kukufahamu zaidi. Pia ni vizuri kufahamu miondoko ya wanawake na mapema ili kuelewa kama anakubaliana na utabiri wako kwake. [soma; Jinsi ya kuapproach demu usiyemjua] Pia unaweza kuwambia unaweza kusoma nyota yake kupitia kwa maga...

Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu

Image
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee..... Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa na kulalamika kuwa mahaba yao wakafanyie chumbani.... Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu" hahahahahaha TOA MAONI YAKO

Alinipenda Sana Kabla Hajapata Kazi, Sasa Kapata Kazi Ananiona Bwege

Image
Naj uta ni kiherehere cha moyo wangu kukupenda,kukuthamini na jukujali. Naombeni msaada,ni mpenzi wangu yapata 1&half year katika mahusiano ni binti ambaye tulifahamiana nae siku moja alipokuja na mama yake mdogo ofisini kwangu kupata huduma, huyu mama yake mdogo ni mtu ninaefahamiana nae hivyo basi akaona haina budi kunitambulisha kwa mwanae nami nikaona ni vizuri kuanzia hapo binti yule alianza kunizoea na kuonesha dalili zote za kunitaka hata baadhi ya siku hufunga safari na kuja kunisalimia. nami sikua na hiyana huwa sipendi kumkwaza mtu nikawa nampa ushirikiano tu mzur. kutokana na ubize wa kazi yangu muda wa story huwa sina nikamwambia kama hutojali uwe unakuja saa 12jioni muda ambao nipo off ila sijui kama mama yako mdogo atakubali akasema hilo halina shida nikimwambia nakuja kwako hawezi kunikatalia kiukweli hilo jibu lake lilinipa ulakini!! Basi jioni tukawa tunaenda sehemu ya utulivu tunapiga story sana tunapata chakula then tunaondoka tuliendelea hivyo kwa mu...

Jinsi ya kumridhisha mwanamke katika tendo la ndoa

Image
Habarini wanajamvi..... Leo nimependa sana kuongelea suala la tendo la ndoa kwani hasa ni wanaume wengi hawajui jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni mpaka imechangia hata wanawake walioko ndani ya ndoa kutoka nje ya ndoa na kuwasaliti wamezao hasa pindi wanapokutana na wataalamu katika hilo suala. Zifuatazo ni njia ambazo mwanaume anaweza kutumia kuweza kumfurahisha zaidi mwanamke katika tendo la ndoa.... 1. Kumuandaa mwanamke katika mudi ya kufanya tendo na hakikisha yupo tayari kufanya tendo. Utamuandaa kwa kuhakikisha umekua mtundu kwakushishikashika na kutafuta kila "weaknespoint"ambayo ukiishika analalamika kimahaba. Hakikisha unamuandaa mpaka clitoric inakua ngumu. 2. Hakikisha ni sehemu salama ya kufanyia sex ambayo hamtapata interaction yeyote. 3. Hakikisha unakua mjuzi hasa katika lile tendo kwa kutumia uume wako hasa kwa kuingiza kwa ujuzi nikimaanisha ingiza uume huku ukiupeleka pande zote kulia kushoto. Huku ukiingiza sometym nusu na wakati mwingine...

SHOGA, MWILI NI RASILIMALI, UTUMIE KWA FAIDA

Image
Najua nikisema sana nitaonekana kuwa nina mdomo wakati kila kiumbe hapa duniani kina mdomo, lakini kwa vile kuwapasha ndiyo ‘hobi’ yangu acha niwachane live, simuogopi mtu. Kwa mtindo huu wanawake wachache watabakia katika ndoa zao. Mkisema nachonga sana, sasa sijui nachonga sturi au meza, hivi kweli wewe mwanamke unamwachia mumeo na mikucha na minywele kibao hutaki kumnyoa mpaka aende nyumba ndogo? Aaah! Sipendi miye, hebu mtunze mumeo apendeze, huyo anayetaka kukuibia akose kazi ya kufanya. Siyo akidondokea nyumba ndogo utasikia jamani kweli mkeo hakupendi hata kucha, huku Ikulu nako kama kichaka cha vibaka kukabia wapiti njia! Hebu basi tunapowafanyia usafi waume zetu tusiishie kufua tu, bali ni kumfanyia kila kitu kuanzia kucha hadi kumnyoa kila kona ya mwili wake. Unataka nani aguse mali zako jamani! Mdudu wa sikio hapendi rafiki, kwa kuamini moyo una nafasi moja ya upendo, wengine mnakuwa matawi lakini shina huwa moja. Usifikirie namaliza nilikuwa naosha mdomo, sasa ndi...

TUMEGUNDUA NJIA RAHISI YA KU***....... ISOME HAPA

Image
NINA furaha sana kukutana nanyi tena katika ukurasa huu ambao kila siku hutufunza mambo mapya kuhusu mapenzi. Kama kawaida, leo nina mada nzuri ambayo itakufungua.Marafiki zangu, hisia za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo.   Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda! Mapenzi ni maisha ya mtu katika uhalisia wake. Hii humaanisha kuwa kama utakuwa na mtu ambaye moyo wako hauna mapendo ya dhati kwake, tafsiri yake ni kwamba, maisha yako yote yatakuwa yenye mateso kila siku. Utalala na mtu usiyempenda, utaamka naye na utaambatana naye baadhi ya sehemu wakati moyo wako haukuwa tayari kuwa naye. Hilo ni tatizo. Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya wazazi bado wana mawazo na fikra za kizamani. Wapo wanaoendelea kuwachagulia au kuwalazimisha watoto wao wenzi wa kuishi nao. Ndugu zangu, hizo ni zama za kale. Maisha yamebadilika. Kila kitu kimebadilika. Ni sahihi zaidi mtu achague mwenzi wa maisha yake mwenyewe maana ataishi naye yeye na siyo mzazi au m...

HAYA NI MAPENZI KWELI AMA?????????

Image
MAPENZI ni pasua kichwa. Yanaumiza na kuwachanganya wengi. Kwa upande wa pili, mapenzi ni mazuri, matamu na yanasisimua sana. Ni namna ya kujipanga tu. Ukitaka kuwa kwenye mateso au furaha ni wewe tu! Rafiki zangu, tunaendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita ambapo leo tunafikia tamati. Nawashukuru wote ambao mnanitumia meseji za kunipongeza kwa darasa ninalotoa. Tunaangalia namna ya kujua penzi la dhati hasa kwa wasichana ambao hudanganyika na kukaa kwenye urafiki usio na dira kwa muda mrefu (zaidi ya miaka mitatu). Wiki iliyopita nilifafanua mengi lakini niliishia pale nilipouliza, mwenzi wako yukoje? Tabia zake zinaeleweka? Anaonekana ana nia ya kuendelea na wewe hadi kufikia kwenye ndoa? Hapo ndipo tunapoanzia leo. MCHUNGUZE Huwezi kumjua kabla hujamchunguza. Tenga muda wa kumchunguza vizuri mpenzi wako. Achana na tabia za kukutana naye kwa ajili ya faragha tu, baada ya hapo huna muda naye. Ikiwa utapata muda wa kuwa naye karibu kwa muda kidogo, utagundua mambo me...

WAKUBWA TUU..!! VIBAMIA JITAHIDINI BASI MNATUTESA WANAWAKE..

Image
   Ni kitu kisichopingika, wanaume wengi wazurii chini hawana kitu kabisaa,samahani kama nitakuwa nimewatukana ila ni ukweli mtupu,  Pia licha ya maHB kuna wengine hawana UHB ila nao vibamia.. Hapo  kuna mgawanyiko wa wanaume sasa,  Kuna wale ambao,kwenye mambo yote are zero,yaani kwenye kukushika anashika kama anabofya keypad au anatomasa embe,denda ndo kabisa hajui kitu,akija kwenye kumalizia yaan daah,ni shida na kibamia chake.  Kuna wale ambao wako so romantic yaani,wanahendo safi kabisa yaani unaona pepo hii, akija kutoa mamaaaa kibamiaa, yaani mtu hata akivesha ndom inakuwa kama soksi ya mkubwa kavaa mtoto kha!!!!  Na wengi hata kwenye kuvua utaona anajishaua,ukimuwahi utaona anajizugisha kumbe anajua utaona mapema  SWALA NI KWAMBA:Tunajua kwamba Mungu kawapa  maumbile hayo,hauwezi ukabadilisha hata iweje,basi jitahidini hata kuchagua styles ambazo zitasaidia mwenzio kujisikia kidogo raha,Maana vinginevyo unamuacha mwenzio na magenye ...