Posts

Showing posts from November, 2017

Nimemtongoza Jana, Leo Anataka Nimtumie Hela

Image
Kuna msichana niliwahi kuonana nae mara moja ni rafiki wa dadaangu, tulionana nilipoenda kumtembelea sista nikahisi kumpenda na kufikiria kumuoa, Jumapili kulikuwa na event ya kifamilia nikaonana naye, safari hii nikawa siriaz kumbana nimsomeshe hadi kieleweke. Bahati nzuri tulipotoka kwenye event tulisafiri pamoja nikakaa naye kwenye siti zinazofatana, nilimtongoza though hakunipa jibu la moja kwa moja kunikubalia but alikuwa anaonyesha kuelekea kukubali, nilimwomba namba yake akanipa. Kesho yake ambayo ni jana akanichokoza kupitia msg, akanisalimia nami nikarespond. Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji ' Nasikia njaa ', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela.  Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza. 

Sababu 5 Zinazosababisha Uume Kuwa Mdogo (Kibamia)...Soma Hapa Kidume Ufahamu

Image
Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida... Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo . " Mwanaume utakuwa wewe!" na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo.... Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao amakujihusisha na upigaji punyeto n.k. NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO. 1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu.. Hali hii husababisha kusinyaa kwa uu...

Fuata Njia Hizi, Mwanamke Hakukatai Ng`oo Hata Awe Vipi

Image
Kifupi unakuta mwanaume ana status nzuri tu lakini anakosa mwanamke anayejielewa.yaani wengine hadi wananiuliza sometimes mimi "hivi wewe unawapataje wanawake wazuri na wanaojimbua hivo". Sasa leo nimeona ni vyema nikishare na nyinyi namna ya kumnasa demu hata awe ni anajitambua vipi! 1: Unapoomba namba ya simu hakikisha huombi kwa papara, yaani usioneshe kama una shida sana na usioneshe kama unataka kumtongoza, bali onesha kama unataka tu ulafiki wa kawaida,yaani lafiki wa kuchati nae tu kawaida. 2: Akikupa namba leo kausha usimtafute leo leo, mtafute baada hata ya wiki,msalimie tu na umpigie, hapa uangalie na muda ambao unadhani mtu anakuwa free, sio kupiga simu asubuhi sana au mchana au usiku sana, piga mida ya saa mbili usiku,na usiongee nae zaidi ya dakika 5. 3: Hakikisha kila siku unamtumia msg mara 3 na kumpigia simu mara moja, yaani asbh mtakie asbh njema, mchana, jioni na usiku piga kumpa pole na heka heka za mchana, ongea nae si zaidi ya dakika 5 ili usimc...

Njia Rahisi Ya Kuchukua Namba Kutoka Kwa Mwanamke Unayemjua

Image
Kuchukua namba kutoka kwa mwanamke ni rahisi zaidi kuliko hata kutamka jina lako. Unachohitajika ni kuenda moja kwa moja kwa mwanamke unayetaka kumuomba namba halafu unamwagiza akupatie. Mara nyingi mwanamke hawezi kukataa kukupatia namba yake unless uwe umemuapproach kwa njia isiyofaa ama hakujui. Mara ya mwisho mimi binafsi nilichukua namba kwa mwanamke chini ya dakika moja ya kukutana na yeye. Nilikuwa nimeandamana na marafiki zangu halafu mwanamke mmoja akapita kando yetu halafu muda wa dakika nikaamua kumuaproach na kunipatia namba yake ya simu hapo hapo. Kama bado unatatizika ni njia gani za kuchukua namba ya simu kutoka kwa mwanamke basi fuata maagizo haya ya haraka ambayo nitakuelezea. #1 Jiamini.  Kujiamini ni kitu muhimu. Wakati unapoamua kuapproach mwanamke lazima uwe unajiamini. Utajiamini vipi? Kujiamini ni rahisi. Kile unachohitajika kufanya ni kuweka nia kuwa wakati ambapo utamwaproach mwanamke lengwa basi lazima namba yake ya simu atakupatia. Huko ndiko nikujia...

Nchi Kumi Zinazoongoza Kwa Kuwa na Wasichana Warembo Barani Afrika

Image
Afrika ni miongoni mwa Bara lililobarikiwa tamaduni, lugha na watu tofauti wenye tabia zinazoshabihiana ikiwamo ukarimu. Miongoni mwa watu wa Bara hili wapo wasichana warembo wa kuvutia tofauti na wengine, katika hili kuna mjadala mpana huku baadhi wakikubali kuwa kuna watu wanaovutia kuliko wengine huku baadhi yao wakidai kuwa uzuri, urembo wa mtu unatafsiriwa kulingana na anayemtizama. Lakini katika hili tukubali tukatae miongoni mwa wanawake wa Afrika bila kujali wanatizamwa na nani ni wazuri na warembo na wanavutia kuliko wengine. Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 zenye wanawake wenye mvuto barani Afrika, mwaka jana Tanzania ilishika nafasi ya 10 mwaka huu imepanda nafasi moja na inashika nafasi ya tisa. 10: Ghana Nchi ya Ghana inashika namba 10 kwa kuwa na wanawake wazuri Barani Afrika kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa Machi mwaka huu na tovuti mbalimbali za masuala ya urembo ikiwamo Afrojuju, Urbanviralmedia. Jambo wanalolingana wanawake wa Ghana kuwa wana mvuto wa asili ambao hu...

Siri 6 za Wanawake Ambazo Kamwe Hawawezi Kukuambia. Zisome Hapa

Image
1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa zamani Mwanamke mara nyingi anakulinganisha na mpenzi wake wa zamani japokuwa hawezi kukwambia waziwazi. Wakati mwingine tabia hii huwafanya wanawake kuwatamani wapenzi wa zamani na hata kurudiana nao endapo watakosa mtu aliye bora kuliko mpenzi wake wa zamani. 3 . Kasoro zako Mwanamke kamwe hawezi kukwambia kasoro zako. Wanawake wanajua kumfichiaa mpenzi wao mambo wasiyotaka yajulikane kwa wengine na kwa mpenzi wake. Wanajua njia za kiujanja za kutumia ili kufichua siri zako zote. Mwanamke hawezi kukwambia kasoro zako kwa kuogopa kukuumiza. 4. Mapungufu yake Mwanamke hawezi kukwambia mapungufu yake labda kwa kuhofia kusheshwa thamani. Wanawake ni wasiri sana kwa mapungufu yao. Wanajua vyema hofu zin...

Hizi Hapa Mbinu za Kujitibu Tatizo la Nguvu za Kiume

Image
Tatizo la nguvu za kiume limekuwa ni tatizo kubwa sana, tumekuwa tukishudia michepuko mingi ikiongezeka kila kukicha huku wengine wakithubutu hata kuvunja mahusiano yao hii ni kwa sababu ya tatizo hili, hivyo ili kuweza kuondokana na tatizo hili ipo haja ya kutambua namna ambavyo tunaweza kujitibu tatizo hilo Zifutazo Njia 13 za kujitibu tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume: 1. Acha mawazo Mawazo na mfadhaiko huondoa mtiririko mzuri wa damu kwenda kwenye uume na kusababisha nguvu kupungua nguvu za kiume na hata uume wenyewe.I kiwa unasumbuliwa na mfadhaiko au stress uangalifu mkubwa unahitajika kabla ya kuamua kutumia dawa yoyote. Katika hali ya mfadhaiko wa akili utokanao na hali ya kushuka kwa uchumi kwa mfano, wanandoa wanapaswa kuwa ni wenye umoja na kujaliana zaidi, shida ni pale kama mke akili yake ni ndogo kwani badala ya kufunga na kuomba kwa Mungu huenda akaenda kukutangaza kwa majirani!. 2. Jitibu magonjwa yafuatayo Kama tatizo limesababishwa na magonjwa kama kisu...

Ni kweli Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Matiti Makubwa ?

Image
Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani na Uingereza kisha kuripotiwa na Jarida la New Study umebainisha kwamba, wanawake wenye matiti makubwa huwasisimua zaidi wanaume kimapenzi kuliko wengine. Jane Pincott Mwandishi wa masuala ya sayansi amekiri katika kitabu chake cha ‘Do Gentleman Really Prefer Brondes’ kwa kueleza kinagaubaga juu ya utafiti huo kuwa, nguvu ya mvuto wa wanawake wa aina hiyo ni kubwa na kufafanua kwamba ina uwezo maradufu wa kuteka hisia za wanaume. “Hakuna mwenye kupinga kuhusu hili, dunia nzima inafahamu na hasa wanaume wenyewe…kigezo cha kwanza cha kumtambua mwanamke ni matiti, …kadri yanavyokuwa makubwa utambulisho wake hukua na mvuto huongezeka. “ Mwanamke kuwa na sura nzuri peke yake haitoshi…ingawa wanaume hupenda hilo pia, lakini si jambo linaloamsha hisia zao za mapenzi haraka, tumetafiti na kubaini ukweli huu tunaoueleza, ” alisema Pincott alipozungumza na jarida hilo la New Study. Timu ya wataalamu iliyoendesha utafit...

HIZI NDIO SABABU ZINAZOWAFANYA WANAWAKE WENGI WATAMANI KUOLEWA NA MWANAUME MPOLE

Image
Ukimuuliza binti yeyote mwenye ndoto ya kuolewa,akutajie sifa za mume ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa ktk orodha ya mwanzo kabisa. Katika utafiti binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74 ikiwa ya kwanza,,wasichana 113 ikiwa ya 2.Lakini kwa wanawake walio ktk ndoa,,wanawake 20 walisema wanapenda mume mpole ikiwa sifa ya 1 na 42 waliobaki waliitaja ikiwa ya 2. Huo ni utafiti binafsi ambao ulitaka kujua tu UPOLE WA MWANAUME una nafasi gani kwa mwanamke Lakini kwa nini wanawake au mabinti hupenda mwanaume mpole? Kwa nini mkorofi hatajwi kabisa? Je ni kweli ni watu wanaohitaji huruma kiasi hicho? Mtaalamu wa masuala wa mahusiano wa kimarekani Baruck Miller aliyetafiti mahusiano kwa miaka zaidi ya 20,,anasema "... Mwanamke anampenda mwanaume mpole ili AJITAWALE KTK MAHUSIANO..." Siku zote,mwanamke anapenda awe huru kwenda apendapo au kupewa atakacho.Hivyo anapokuwa mbele ya mwanaume mpole hana wasi,,wala hana tabu ya kutimiziwa shida yake.Akikutana na mwanaume ...

Faida ya Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Wakati wa Tendo.

Image
1.Makalio makubwa hunisaidia kujua kama mwenzi wangu amefika orgasm, mfano ikitokeana hit Doggie basi wakati wa orgasm (most of girls) makalio huwayanatikikisa (twitch, fasciculate ) ambayo huwa inaambatanana miguno ya kimhaba inayo fifia ambayo kabla ya hapo huwa ya sautikubwa... hii unifanya nijue what to next kumzidishia utamu zaidi. Hii kitu inukuwa ngumu kunotice kwa msichana ambaye nimwembamba just have to relay from other signs 2. Makalio makubwa huwa yananifanifanya iwe rahisi kwangu kuyashika (grab) especially wakati wa doggie.ikizingatia gym imekubali na kifua na mabega yametanuka ( shoulder to shouler distance ni kubwa). itaniwia ngumu sana kama msichana an mwili mdogo na makalio yake pia 3. msichana mwenye makalio makubwa obvious atakuwa na nyama nyama kwenye mapaja hii nyama nyama zinakuwa na act kama chock absober na kucushion ile hiting force ,especially when adrenaline na sympathetic flow is at peak and s3x is becoming hardcore, katika situation hiii , kimbau mbau ana...

Faida ya Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Wakati wa Tendo.

Image
1.Makalio makubwa hunisaidia kujua kama mwenzi wangu amefika orgasm, mfano ikitokeana hit Doggie basi wakati wa orgasm (most of girls) makalio huwayanatikikisa (twitch, fasciculate ) ambayo huwa inaambatanana miguno ya kimhaba inayo fifia ambayo kabla ya hapo huwa ya sautikubwa... hii unifanya nijue what to next kumzidishia utamu zaidi. Hii kitu inukuwa ngumu kunotice kwa msichana ambaye nimwembamba just have to relay from other signs 2. Makalio makubwa huwa yananifanifanya iwe rahisi kwangu kuyashika (grab) especially wakati wa doggie.ikizingatia gym imekubali na kifua na mabega yametanuka ( shoulder to shouler distance ni kubwa). itaniwia ngumu sana kama msichana an mwili mdogo na makalio yake pia 3. msichana mwenye makalio makubwa obvious atakuwa na nyama nyama kwenye mapaja hii nyama nyama zinakuwa na act kama chock absober na kucushion ile hiting force ,especially when adrenaline na sympathetic flow is at peak and s3x is becoming hardcore, katika situation hiii , kimbau mba...

WANAUME PLZ, FAHAMU MBINU ZA KUMPAGAWISHA DEMU KWA KUTUMIA CHUCHU ZAKE TU..CHEKI HAPA

Image
Kuna baadhi ya wanaume tena wengi hawajui kunyonya au kuchezea matiti ya wanawake badala yake wanakuwa wanawaumiza wanawake bila kujua. Kila k2 kinataka ujanja na utaalamu ili ukifanye kwa ufasaha sana bac leo tunafundishana jinsi ya kunyonya matiti au maziwa kama wengi wenu mnavyoita na kama una maujanja mengne waweza kutupia hapa maana lengo ni kufundishana wote maujanja ya kimapenz humu kwenye Apple Tunda la Mapenzi. Ili mwanamke asikie raha sana lazima ujue kuyachezea maziwa yake kwa ustadi wa hali ya juu,huku ukiyapapasa kwa mbali sasa cha kufanya hapa ni kitu kidogo sana na wala hutakiwi kutumia nguvu katika sekta hii. Mweke mkao wa kula mpenz wako ambapo unajua utakuwa rahis kucheza na maziwa yake, anza kwa kuyashika shika maziwa ya mpenz wako taratbu huku unayapapasa kwa mbali na kuyabinya binya kama vile unabinya embe dodo kuckia kama limeiva na wakat unafanya hivyo usisite kuyacfia matiti ya mpenz wako, endelea kuchezea titi moja huku moja lingne anza kwa kulinyonya ziwa ...

HEBU CHEKA UPASUKE NA HII UONGEZE SIKU ZA KUISHI!

Image
Mlevi mmoja aliingia kwenye daladala na kukaa siti ya mbele halafu akaweka begi lake kwenye siti ya pembeni kisha akapitiwa na usingizi. Mara akaingia mlevi mwingine kwenye daladala hiyo na kulitoa begi la mlevi wa kwanza kisha akakaa. Mlevi wa kwanza alipoamka alipeleka mikono yake alipokuwa ameliweka begi na kuanza kufungua zipi ya suruali ya mlevi wa pili akidhania ya kwamba ni zipu ya begi lake, baada ya kufungua zipu alianza kupapasa ndani ya zipu hiyo. Kwa hasira akauliza, "nani kaweka ndizi na machungwa kwenye begi langu?" Unajua kilichotokea hapo ni kipi? Like hapo chini kisha nitakutumia jibu kwenye inbox.

USIPOYAJUA HAYA NDUGU YANGU UMEISHAAAA???

Image
Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawjawahi kukifikiria!! Nacho ni Nyota ya mwanamke!! Leo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho nilikuwa nakiona STORY Kuna jamaa yangu anataka kuoa mke wa pili baada ya kuombwa na mke wa kwanza afanye hivo!!Jamaa kamuoa mke wa kwanza miaka michache iliopita na alikua mambo safi kwa sababu bahati ya hela anayo!! Ila baada ya kumuoa bidada mambo mengi yakawa yanadolola na ameshuka kawa kapuku kila analofanya linabuma!! Sasa Siku chache zlizopta mke wake huyo kamshauri aongeze mke mwingine labda yeye hana nyota ya mafanikio!! Kwani toka waoane mambo ndo yamekua upside down!!" Hapo ndipo nilpokuja kukubali Yale ambayo nimewashuhudia kuna baadhi ya wanawake ukiwa nao tu mambo yanakuwa yanakunyokea sana hadi unahisi tofauti ( imenitokea) Pia kuna jamaa mwingine alioa mwanamke mambo yakawa yananyokaa alipomuacha mambo yake yakawa hayaendi walivorudiana nae mambo yakawaka tena!! Nilishasikia h...