Posts

Showing posts from October, 2017

SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani na kukubali haraka

Image
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja. Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda. Walikuwa wakituma barua, kuambia rafiki wa rafiki zao ama kuwafuata na kuwapigia mbinja majumbani mwao. Lakini kwa bahati nzuri, hivi sasa kuna SMS, ambazo zina uwezo wa kutuma ujumbe mfupi hapo kwa hapo kwa mwanamke ili kurahisisha kazi yako ya kutongoza. Kabla hujaanza kumvutia mwanamke, ni lazima kwanza umfanye akutambue kwa njia chanya kwanza. Mwanzo haupaswi kutumia SMS kumsisimua mwanamke mpaka ile siku ambayo utapata kumsoma na kumjua zaidi. Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi. Kufanya hivi kutatoa pic...

KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI

Image
*1. Tamaa ya utajiri* fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa bahati mbaya wengi wao sio waoaji bali ni wahuni tu na watu wa anasa na kula bata mjin. *2. Dharau,* maringo, kiburi na mashauzi yaani we kila mtu akikusogelea na kujaribu kuzungumza na wewe unaanza kumpandisha na kumshusha kisha una msonya. Wengi huishia kukupotezea wakijua either umewadharau au tayari una mtu wako ndio maana nyodo nyingi. *3. Husali* hakika lazima wahuni watapata nafasi kwako na kukuchezea mpaka uchakae kama mtumba wa uvira. MWENYEZI MUNGU ndo anaetoa BARAKA ukimuomba hakika atakuepushia kuingia midomon mwa dubu na fisi wanaokuwa wakikuvizia na kuja kama MALAIKA. Atakupa ufahamu wa kuwatambua na kuwashtukia mapema. *4. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa* . Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza! Unakuta binti unavaa kama mcheza show za Cas...

Mambo Ya Muhimu Kuyafahamu Katika Safari Yako Ya Maisha.

Image
Wasiliana nasi kwa kupitia email yetu. jitambuesasa@gmail.com Mwanadamu katika safari yake ya maisha kuna elimu muhimu ambazo akizitambua na kuweza kuziishi itamsaidia kuongeza nguvu yake ya kiroho, kiimani na kuweza kuifurahia safari yake ya maisha. Unaweza ukawa haujui elimu hizo kutokana na huwezi kufundishwa shuleni kuhusiana na elimu hizo au kwa sababu wazazi wako hawajaweza kuzifahamu inapelekea na wewe usifahamu kwani tunajifunza dunia ilivyo kupitia waliotutangulia, milango ya ufahamu na intuition yetu. Tangu miaka ya zamani wanadamu wamekuwa ni watafutaji wa mambo yaliyojificha katika maisha. Tambua kuwa safari ya maisha lengo lake ni kutufundisha na kuimarisha roho zetu.   Elimu hizo za muhimu ambazo ni elimu zinazoweza kukusaidia kuelewa siri za ulimwengu na mambo ambayo wanadamu wachache wameweza kuzitambua. Lakini tambua kuwa, kama unajua elimu hizo au kama haujui elimu na laws zake bado zitakuwepo tu. Mfano ukiruka kwenye gorofa hata kama hujui kuwa kuna ...

Mwanaume Ukiwa Unafanya Haya Usilalamike Mkeo au Mpenzi Akichepuka

Image
Ikifikia mke kukusaliti kwanza unahitaji kujiuliza kuna tatizo gani mpaka akafikia kukusaliti? Mwanamke anaekupenda sio rahisi kumsaliti ampendae hata akitongozwa na Sharobaro, Mzee Yussuf, Diamond hata Reginal Mengi. Ikitokea mkeo kakusaliti kuna kitu nyuma ya pazia lako, ingawa wengi wetu tunasema hela na Gari vinawalainisha wanawake. Wengi waliosalitiwa basi hizi ndio kasoro zao:- 1 Kaowa mwanamke wa mtu (mwanamke alikuwa na mpenzi wake lakini jamaa kaingia wakati mwanamke anatamani ndoa) 2 Alikuwa na hela sasa kafulia hana kitu au alijifanya alikuwa na hela lakini baada ya kuowa mke anagutuka mume mchovu. 3 Humtoshelezi kwenye tendo la ndoa( humkojozi) kama umeowa mke ameshawahi kufikishwa kilima cha kilimanjaro pole yako fanya maujuzi umpeleke kilima cha Everest. 4 Ubahili hapa wengi wa wanaume ndio hupigiwa sana wake zao, mke anahitaji matumizi yake binafsi sio kula na kulala tu au kumnunulia madira na chocolate za kichina. kuna matozi wanahonga mpaka malaki na milioni halafu u...

Mambo haya Haya huchangia Mwanaume kuwa mchovu kitandani

Image
Kuna malalamiko mengi sana yamekuwa yakitolewa na wanawake na wengine kufikia kuvunja ndoa au mahusiano kwa sababu tu wanaume wao wameshuka kiwango au ham imeisha kabisa ya tendo. Lawama hizo wamekuwa wakiwatupia wanaume bila kuangalia uhalisia wake. Ukweli ni kuwa wanawake wenyewe ndo wamekua chanzo kikubwa cia tatizo hili. Sababu zifuatazo kwa ufaham wangu ndo zinasababisha: UCHAFU: Wanawake siku hizi wanashindwa kujifanyia usafi ipasavyo miili yao kitu kinachosababisha mwanaume kukereka na hamu kwisha. KAZI: Wanawake wa siku hizi inafahamika kuwa wanafanya kazi,mwanamke anarudi kazini na uchovu, stress, katukanwa na bosi wake, amepata loss, ametongozwa na boss na kutishiwa kufukuzwa kazi kama atamkataa, amesikia fununu za ridandasi n.k,mwanamke kama huyu hawezi kuwa na ndoa imara. KUTOKUWA MUWAZI: Hili ni tatizo kubwa, wanawake hawapo wazi kama hawajatosheka kitandani hivyo wanaenda kulalamika nje na pindi mume apatapo taarifa hunyong'onyea kwa sababu anajua wat...

Jinsi Ya Kuwavutia Wanawake Bila Kutamka Neno lolote

Image
Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye. Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo ya "kama ningeweza kujiamini mbeleni si ningem...." Well, tatizo hilo halijawahi kutokea kwako pekee bali kwa kila mwanaume wakati flani katika maisha yake na hatutaki lijitokeze tena mbeleni. So chanzo cha wewe kutoweza kumtongoza huyu mwanamke ni kuwa akili yako ilikataa kutoa mazungumzo ambayo ungeweza kuyatumia kwa huyo mwanamke. Well, waonaje kwa mara moja tukubaliane na akili yako na tusitumie maongezi kuapproach mwanamke, na badala yake tutongoze kimya kimya? Kutongoza kimya kimya ni mbinu rahisi sana, mwanzo ni rahisi kwa kuwa unapata kujua kama mwanamke anakupenda au la. So bila ...

Mambo Ya Msingi Unapotongoza Mwanamke Katika Kikundi cha wanawake wengi,kamwe hachomoki

Image
Kutongoza ni sanaa ambayo inahitaji mmoja kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili aweze kuwa na ustadi ambao unaweza kumnufaisha au kumsaidia mhusika wakati ambapo anakabiliwa na tatizo la kumshawishi mwanamke. Ijapokuwa kuzijua sanaa hizi dhidi ya wanawake haitaonekana kuwa na ustaarabu katika jamii, kila mwanaume ana haki ya kuzijua na kutambua mbinu hizi. Kitu cha kwanza ambacho unapaswa kujua ni kuwa kutongoza si matumizi ya mistari na miondoko ya mwili pekee bali pia ni subira. Kutongoza mwanamke kutachukua muda mwingi kutoka kwako hivyo unahitajika kuwa na imani. Kwa mfano kabla ya kuchukua hatua ya kuapproach mwanamke lazima upime manufaa na hasara ambazo zitakuja iwapo utaamua kutangamana na mwanamke ambae unakusudia kuwa naye. Ikija swala la kumtongoza mwanamke katika kikundi cha watu, haya hapa ni baadhi ya mambo ambayo unapaswa kuwa nayo wakati unapokabiliana na windo lako. #1 Kumsifia Kama umetoka out hadi kwa klabu na marafiki zako halafu ukamwona mwanamke unayemtamani...

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika kilele mapema

Image
Yafuatayo yaweza kusaidia kuboresha kulifurahia tendo la ndoa zaidi na kwa muda zaidi. Kuuweka Mwili vizuri: Ni wazi kuwa tendo hili linachagiwa sana na mzunguko mzuri wa damu. Mwili ukiwa kwenye hali nzuri kiafya na tendo huwa linaenda ipasavyo. Na mwili ukiwa dhoofu basi tegemea tukio dhoofu pia. Hivyo ukitaka kuwa na matokeo mazuri kwenye ndoa yako, jitahidi sana kujiweka vizuri kwa kula sahihi na kufanya mazoezi mepesi mepesi tu kwa wale wanaoweza kuutumia muda vizuri wapiti pite Gym walau siku mbili na kuendelea kwa wiki. Kufahamu kuwa kupumzika kwa uume baada ya baada kufika mara ya kwanza sio tatizo. Kwa wanaume walio wengi, baada ya mshindo wa kwanza hupumzika kidogo kabla ya kuendelea na awamu nyingine. Japo kuna ambao wana uwezo wa kuendelea moja kwa moja bila kupumzika (law ya use and misuse inahusika kwa wengine apa). Kwa hio kusinyaa kwa uume baada ya mshindo wa kwanza, isifahamike kuwa ni upungufu wa nguvu bali ni ajdustiment ya mwili wenyewe kutokana na kwamba mw...

ZIJUE NGUZO ZINAZOMJENGA MWANAUME

Image
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, siku hizi watu wamejikuta wakichanganyikiwa kutokana na mabadiliko ya kimila na kiutamaduni. Zamani mtu ulikuwa ukifanya au ukiwa na tabia fulani basi utasikia wazazi wakikuambia hiyo sio tabia ya kike au ya kiume. Duniani kila jambo huwa na sifa zake halikadhalika tabia. Naomba wakina Mama ambao wanawatoto wakiume wachukue wajibu wa kuwafundisha watoto tabia zao na sifa zao. Nguzo zinazomjenga Mwanaume halis 1. Ujasiri Mwanaume halisi hawezi kuwa muoga kwani hulka ya mwanaume. Mwanaume sharti Awe jasiri ili aweze kuziba pengo la uwoga wa mwanamke kwani kihulka mwanamke ni muoga ukilinganisha na mwanaume. 2. Busara na hekima. Mwanaume hapaswi kutoa maamuzi ya kukurupuka wala kutoa hukumu isiyo na haki. Mwanaume halisi huwa na Busara na Hekima katika maamuzi na mazungumzo. 3. Msimamo. Mwanaume hapaswi kuyumbishwa hata Kama kakosea. Siku zote mwanaume hupaswa kuamini kuwa kile anachokifanya ni sahihi. Hivyo asifanye mambo kwa mashaka mas...

Tarehe / siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Image
Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu ya  jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14. Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fall kwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstral cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwa vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani ya siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period) ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8. Hivo basi, kama wewe ni mwanaume inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako juu ya hayo niliyoyasema hapo juu i...

Uondoaji chunusi kwa njia za kiasili

Image
Ukitaka kuondoa chunusi usoni na kusafisha uso usiwena madoa kwa kiasili, njia zifuatazo zaweza sana kusaidia. Tafuta ukwaju loweka katika maji ukishalainikachanganya na asali, paka usoni. Ni dawa nzuri sana na utaona ngozi yako inabadilikakwa kipindi kifupi. Kama utashindwa kupata vitu hivyo tafuta sabuni pamojana krimu yenye mchanganyiko wa asali na ukwaju. Sabuni hiyo iko katika boksi kubwa na kwa ndani inakigunia ambacho kinasaidia kusaficha uso, usinunue sabuni ya ukwaju na asali ambayo haijafungwa kwenye kitambaa kigumu chenye rangi ya kahawia itakuwa ni feki na haitakusaidia. Kama unataka kupunguza tumbo au mwili kwa ujumla.Asubuhi kunywa chai nzito, mchana kula chakula kilichokamilika. Ila usiku kula matunda tu ili uweze kuupa mwili nafasi ya kujitengeneza na hasa kupunguza mfuta yaliyozidi mwilini. Uwe unakula wakati unasikia njaa tu unapokula bila yakusikia njaa unakuwa unarundika tu chakula mwilini na baadaye chakula hicho hubadilika na kuwa mafuta ambayo hutengen...

JE WAJUA NI KWANINI MBU HAENEZI UKIMWI?

Image
1. Kwanza mdomo wa mbu haupo kama sindano za kawaida zinazotumika, mlija wa mbu ambao hutumika kuingizia mate yenye vimelea vya malaria ni tofauti na ule unaotumika kufyonza damu kutoka kwa binadamu, kutokana na hili kwaiyo damu tu ndio huingia kwenye mwili wa mbu kutoka kwa binadamu alieng`atwa na mbu, na mate tu ya mbu ndio huingizwa kwenye mwili wa binadamu. 2. Pili magonjwa yote ambayo huambukizwa na insekta kama, matende na malaria aya magonjwa yanaweza kusambazwa na mbu kwa sababu vimelea vya aya magonjwa huweza kujizalisha(multiply) katika mwili wa mbu, ambapo hivi vimelea huweza kusambaa hadi kwenye mate ya mbu baada ya hapo huweza kuingizwa kwa kung`atwa binadamu. Tofauti ni kwamba vimelea yani virusi vya ukimwi(vvu) vinapoingia kwenye mfumo mzima wa mmeng`enyo wa mbu humeng`enywa kama chakula cha kawaida kisha hutoka kama uchafu, ili virusi vya ukimwi viweze kujizalisha(multiply) ni lazima viingie kwenye seli maalumu za binadamu. 3. Tatu, virusi vinavyosabisha ukimwi h...

PIMA DNA KWA NJIA YA ASILI YENYE UKWELI KWA ZAIDI YA 90%

Image
Hapo nyuma nilikuwa nikiambiwa kuwa Wazee ni dawa na hazina hasa katika kutupatia Maarifa sisi Vijana na Wajukuu zao nilikuwa sitaki kuamini na kuna wakati hata nilikuwa nikimwona tu Mtu Mzee au Bibi basi nawapuuza tu nikiamini kwamba hawana jipya tena. Hali hii ilibadilika taratibu baada ya kuanza sasa kupenda kukaa na Wazee mara kwa mara ili niweze kuchota hekima na busara zao na kwa kweli tokea nianze kurudisha imani yangu kwa Wazee naona nimefaidika mno katika kupata Elimu dunia ambayo wengi wetu hatuna na tumebaki tu kujikita katika Elimu zetu hizi za Kitaaluma tukidhani kuwa pekee ndizo zitatukomboa Kifikra. Pamewahi kuwa na nadharia kwamba akina Babu na Bibi wao huweza kujua Mtoto mchanga aliyezaliwa leo kama ni Mjukuu wao kweli au labda Mtoto wao amebambikiwa huyo Mtoto na Mama yake kutokana na usaliti wake ndani ya Mahusiano yao. Niliamua kufanya mazugumzo yangu ya Kiudadisi kabisa na Wazee wa Mikoa mbalimbali ili tu niweze kujua kama kuna njia yoyote mbadala ( ukiachia...

Je wajua Sifa za Mwanamke wa Kuoa?

Image
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa pamoja kwa kipindi chote cha maisha. Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kwamba kitu kinachowezakuwafanya wakapata wachumba niuzuri hivyo kupoteza muda wao kujichubua na kujiremba ili wawavutie wanaume bila kujua kwamba kuolewa ni zaidi ya uzuri. Hali sasa hivi imebadilika ni tofauti na kipindi cha nyuma ambapo ukiwa na sura nzuri na umbo la kuvutia basi una asilimia 100 za kuolewa. Utafiti ambao nimeufanya unaonesha kwamba zaidi ya uzuri wa tabia na umbo, kuna kuna sifa nyingine za msingi ambazo mwanamke anatakiwa kuwa nazo ili aweze kuwa katika mazingira mazuri ya kupata mchumba wa kumuoa kiasi kwamba asipokuwa nazo ataishia kuchezewa tu lakini haitatokea mtu kumtakiwa kwamba anataka kumuoa. 1. MWEYE MAPENZI YA KWELI Lengo kubwa la mwanaume kuoa ni kutaka kupata...