Posts

Showing posts from August, 2017

Wanawake Hebu Tujitahidi Sasa Kujishusha Kwa Wanaume Wetu Ili Kunusuru Hali

Image
Nianze moja kwa moja kwenye mada. Ni kweli maisha ya sasa ya mahusiano na ndoa kwa ujumla hapo tete sana. Sasa wanawake wenzangu, si vibaya tukakaa chini na kufikilia nini chanzo. Japokuwa sisi wanawake tunavumilia mengi kwenye mahusiano na ndoa kwa ujumla, lakini tuna jukumu na nguvu kubwa kunusuru mahusiano yetu na kuishi kwa amani na furaha. Tujitahidi yafuatayo: 1. Tusiwe watu wa gubu Wanaume wengi hawapendi mwanamke mropokaji, mjuaji, mkorofi. Tujishushe! 2. Tupende ndugu wa mume Hili nalo ni changamoto sana. Mara nyingi sana huwa tunajisahau, tunaona ndugu wa mume ni maadui zetu. Mama mkwe si adui, hapana tuwapende. Hata wao wakiwa miiba kwetu tujishushe wataona aibu na tutaenda sawa. 3. Heshima  Hakuna kitu kizuri kama Heshima, nawaambia. Mwanaume yeyote anapenda kuheshimiwa kwani 'naturally' iko hivyo. Mwanaume ni kichwa cha nyumba, yatupasa kuwatii na kuwaheshimu. Inapotokea Mungu kakubariki na kipato zaidi ya mume au mwenza wako, hiyo isiwe tiketi ya ujeuri, kuche...

NIMEONA UTUPU WA YAAAA..........

Image
Ilikuwa wiki moja iliyopita.Wakati wa asubuhi naingia bafuni kuoga kumbe kulikuwa na mke wa jirani yangu ambaye pengine hakusikia ujio wangu nami sikujua kama yumo. Ile anataka kutoka tu pale mlangoni,kanga yake ikaanguka na akabaki mtupu Macho hayana pazia niliona utupu wake nae aliona kuwa nimeona.Ile tu anajizoazoa kujisitiri akateleza akaanguka ikabidi nimsaidie kumuinua , nikamwinua huku akiwa uchi wa myama na kuhakikisha hajaumia popote ...Then nikamfunika na kumwambia pole nikaondoka kiistaarabu. Ila sasa naona ustaarabu wangu uliniponza sasa naona ananifanyia vituko Mwanzo nilifikiri yameisha,alianza kwa kukwepesha macho na mimi,,mara akajenga mazoea na mimi.Na sasa vituko vimezidi,mara sms za ajab,wakati wote anataka kujua niko wapi na nafanya nini, siku ingine ananiletea chakula alichopika nile.. Kwa tabia na msimamo wangu naheshimu sana ndoa za watu.Nishaurini nifanye nini kumuepuka ? Nimepanga chumba hapa na nimelipa kodi ya mwaka mzima,ni jirani tu chumba cha nne toka ...

Hii Ndio Kazi ya Shanga Kiunoni Kwa Mwanamke Pamoja na Maana ya Rangi zake

Image
Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa  ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka. Wanaume wengi wanaopenda wanawake wao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?....Karibu  tujifunze  pamoja. Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka .  Jana  niliguswa  sana na simulizi la rafiki yangu juu  ya  shanga, hivyo nikaona  boraniandike  na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi  lake.  ".........Nilikutana na boyfiriend wangu maeneo ya  Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues. Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifura...

Fahamu Sifa za Mwanamke Asiyefaa Kuolewa Asilani

Image
SUALA la kuoa lipo tu licha ya kwamba wapo wanaochelewa kuingia kwenye maisha hayo wakihisi inaweza kusitisha furaha ya maisha yao. Nasema hivyo kwa kuwa najua wapo wanaoamini kuoa ama kuolewa ni kujiingiza kwenye matatizo. Dhana hiyo haina mashiko kiviile, asikuambie mtu unapoingia kwenye ndoa na mtu anayekupenda na wewe unampenda kwa dhati, karaha hakuna licha ya kwamba kugombana kwa hapa na pale hakuwezi kukosekana. Hata hivyo, nikiri tu kwamba, zipo ndoa ambazo ni ndoano. Yaani unakuta mtu kaingia kwenye ndoa na mtu ambaye hakuwa amedhamiria, matokeo yake kadiri siku zinavyokwenda anahisi ameingia chaka na anaishia kuomba ndoa isiwepo. Leo nataka kuwazungumzia wanawake ambao ni majanga na ukijichanganya ukaingia nao kwenye maisha ya ndoa, utakiona cha mtemakuni. 10. Asiyeridhika na penzi unalompa Wapo wanawake ambao wewe unaweza kujitahidi kumpatia mapenzi kadiri unavyoweza lakini yeye hatosheki. Anakuchukulia wewe ni dhaifu sana na wakati mwingine kuhisi yupo mwingine anaye...

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

Image
Habari zenu? nadhani mtakuwa mko poa sana kama nilivyo mie. Leo kuna jambo napenda kuwashirikisha ambalo wengi tunakumbana nalo. Ulishawahi kuwa na hamu ya kufanya mapenzi lakini mwenza wako yupo kwenye siku zake za hedhi??Au kwa mwanamke ulishawaki kusikia hamu ya kufanya mapenzi wakati upo kwenye siku zako za hedhi?? Basi leo nitawaambia nini cha kufanya wewe na mwenza wako.  Mara nyingi wanawake tunashikwa na hamu sana ya kufanya mapenzi siku za mwisho za kumaliza hedhi na mara tu baada ya kumaliza hedhi ila bado sijajua ni kwanini hali hii hutokea japo si kwa wote.Na katika kipindi hicho pia joto letu la mwili linakuwa kubwa sana kiasi cha kuongeza msisimko kwa mwanaume pindi mnapogusana.  Nini cha kufanya? Kama ulikuwa hujui zipo njia nyingi sana za kuridhishana nitazitaja kama ifuatavyo KUMRIDHISHA MWANAMKE( Hedhi huwa inatoka kidogo): Hapa naomba nichambue kidogo Taratibu sogeza ulimi wako kwenye midomo yake, mpe mate au denda kama wasemavyo wengine huku mikono y...

SHIDA TATU KUBWA ZA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA AWAPO KWENYE SHUGHULI.

Image
Imezuka tabia ya wanaume wengi kupenda sana wanawake wenye makalio makubwa,siku hadi siku tabia hii inazidi kuwa sugu kwani kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana anasoko kuliko wale wenye makalio ya wastani. Licha ya kuwa watu wengi huzimika na wanawake wenye makalio makubwa lakini ukweli upo tofauti kabisa kwani wanawake hawa wamekuwa na kero kadhaa ambazo ni sugu sana,zifuatazo ni kero zao kuu tatu. UNAWEZA  SOMA :  *Mwanaume huwa hapati mwanya au nafasi nzuri ya kumwingizia uume na ukafika kunako kwani mara nyingi ukubwa wa makalio huzuia uume kusakua uke kisawasawa hivyo badala ya kupata burudani unakesha ukihangaika kupekenyua tu makalio na kujikuta umemwaga hata bila ya kula mzigo inavyotakiwa. *Wanawake wenye mzigo mkubwa wa makalio huwa wazito na hivyo inakuwa ngumu sana kuwakunja ipasavyo au kumlalia mwanamke kwa juu hivyo mara nyingi wamekuwa wakiwekwa mkao wa kifo cha mende tu wakati zipo staili nyingi na tamu kuli...

Hii Hapa Sababu Kubwa Inayowafanya Wanawake Kupiga Kelele Wakati wa Tendo la Ndoa

Image
Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha maswali kama kutoa huko sauti ni jambo la asili au ni mwanamke mwenyewe anaamua hapa atoe sauti na kwingine asitoe. Mwaka 2011 watafiti wawili mmoja kutoka Chuo Kikuu cha Lancashire na mwingine kutoka Chuo Kikuu cha Leeds wote wa nchini Uingereza walichapisha utafiti wao walioufanya uliokuwa ukihusu utoaji wa sauti wa kati wa kujamiina. Walitaka hasa kujua kwanini wanawake hutoa sauti hizo. Katika utafiti huo, waliwahoji wanawake 71 wenye umri kati ya miaka 18 na 48 ambao hushiriki mapenzi mara kwa mara juu ya utoaji wa sauti wakati wa kujamiiana. Katika utafiti huo ulibaini kuwa wanawake wengi huto sauti hizo lakini sio pale tu wanapokuwa wamefika kileleni. Asilimia 66 walisema kuwa hutoa sauti wakati wa kujamiina ili  kuwasaidia wenza wao kufika kileleni haraka, wakati asilimia 87 walisema kuwa hutoa sauti hizo ...

MAPENZI: MADHARA MAKUU YA KUFANYA MAPENZI KINYUME CHA MAUMBILE ( TIGO) HAYA HAPA.

Image
unapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo “MWIKO” katika jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini. Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinzi Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo. Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, ku...

Ukweli Mchungu..Haya Ndiyo Madhara ya Kutisha ya Kufanya Ngono Kinyume na Maumbile

Image
Ngono kinyume na maumbile au wengine husema Ngono kwa nyia ya haja kubwa, ni hali ya kingono ambayo muhusika huingiza uume katika njia ya haja kubwa kwa lengo la kufanya mapenzi kwa njia hiyo ili kujirishiza hisia zake. Watu ambao wanajishughulisha na kushiriki katika ngono ya nia hii ya kinyume na maumbile wapo katika hatari kubwa ya kiafya, kwa sababu njia ya haja kubwa inazungukwa na mishipa/neva nyingi sana zipo eneo hilo ambalo kazi zake si maalumu kwa tengo la ngono kwa kuingiziwa kitu ambacho hakistahiri eneo hilo. Ambapo kwa utafiti uliofanyika Nchini Tanzania uliohusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miakan 15 na kuendelea na iliyohusisha kada tofauti katika jamii kama wanafuzi, wafanyakazi, wahudumu wa baa, wauguzi, makahaba na kina mama wa majumbani katika maeneo tofauti. Watu waliojitokeza ni 903 wakiwemo pia wanaume walihusika katika tafiti hiyo. Utafiti huo ulisema wanawake 44 kati ya 166 waliohojiwa walisema kuwa wamewahi kufanya tendo la kujamii...

Ndoa na Mahusiano: MUENZI MKEO NA MKE MUENZI MUMEO

Image
Kwa kuoa/kuolewa huchukui tu mke/Me, Bali unachukua ulimwengu wako mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yako yote mke wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi. Atashiriki katika nyakati zako nzuri, siku zako, na miaka yako. Atakuwa pamoja nawe katika furaha na shida, katika mafanikio na tabu, katika ndoto zako na katika wakati wa hofu. Ukiumwa, atakup a huduma bora kabisa. Wakati unapohitaji msaada atafanya vyovyote awezavyo kwa ajili yako. Wakati una siri, ataitunza siri yako, wakati unahitaji ushauri, atakupa ushauri mzuri kabisa. Atakuwa na wewe utakapoamka asubuhi kitu cha kwanza ambacho macho yako yataona ni macho yake. Wakati wa mchana, atakuwa na wewe, kama kuna wakati mchache hatokuwa na wewe kwa kimwili, atakuwa anakufikiria wewe, anakuombea dua kwa moyo wake wote, akili yake yote, na roho yake nyote. Ukienda kulala usiku, kitu cha mwisho macho yako kuona itakuwa ni yeye, na ukilala bado utakuwa unamuona katika ndoto zako. Kwa kifupi atakuwa ni ulimwengu w...